SK2 / S02S26 Novemba 2025

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika wameahidi kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, biashara na kukabiliana na changamoto za uhamiaji usio wa lazima / Majeshi ya serikali ya Sudan yamedai kuwa yamezuia jaribio la wapiganaji wa RSF kufanya mashambulizi licha ya kundi hilo kutangaza kusitisha mapigano siku ya Jumatatu

https://p.dw.com/p/54IBo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *