Jeshi ladai kufanya mapinduzi Guinea Bissau
Kundi la maafisa wa jeshi nchini Guinea Bissau wamesema wanashikilia Madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Taarifa iliyosomwa kupitia televisheni ya taifa maafisa hao wamesema wamemwondoa mamlakani Rais Embalo.