Watu 34 wafariki dunia kwa mafuriko Thailand
Makumi kwa maelfu ya watu nchini Thailand na jirani yake Malaysia wameachwa bila makao kutokana na mafuriko makubwa.
Makumi kwa maelfu ya watu nchini Thailand na jirani yake Malaysia wameachwa bila makao kutokana na mafuriko makubwa.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kutoa Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza ingali ni ya majanga licha ya kusitishwa…
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amesema anataka kuvunja rekodi binafsi alizonazo Ligi Kuu Bara kila nafasi atakayopewa.
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Madaba, iliyopo katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, wameungana kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana ili kupunguza hatari na changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi…
WATETEZI wa Ligi Kuu Bara Wanawake (WPL), JKT Queens wanaingia kambini kesho Alhamisi kuanza kazi ya kutetea taji kwa kuvaana na Bunda Queens.
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imeteketeza dawa za kulevya aina ya mirungi, zenye uzito wa zaidi ya kilo 900, zilizokamatwa mjini Bariadi, mkoani Simiyu. Wakati zoezi…
🔴MEZA HURU - UFAHAMU UGONJWA WA PSORIASIS ..NOVEMBA 26 2025
DAR ES SALAAM: THE Minister for Transport, Professor Makame Mbarawa, said the Tanzanian government will continue improving transportation services by using clean energy as part of ongoing efforts to protect…
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua shauri la Kikatiba dhidi ya Inspekta Jenerali...
LUANDA: A zeal to strengthen strategic cooperation in peace, security, good governance, economic development, and sustainable development areas heralded the 7th Summit of Heads of State and Government of the…
Somalia inakabiliwa na dharura ya ukame inayozidi kuongezeka kwa kasi, huku sehemu kubwa za nchi sasa zikikauka baada ya misimu minne ya mvua kushindikana, ikiacha mamilioni ya watu katika hatari…
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) leo hii huko Kyiv, Ukraine limeripoti kuwa zaidi ya taasisi 340 za elimu zimeharibiwa au kuangamizwa mwaka huu 2025 nchini humo…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa “anaufuatilia mwenendo wa hali ilivyo kwa wasiwasi mkubwa,” amesema msemaji wake wakati wa mkutano wa mchana na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya…
Siku 16 za uhamasishaji kupinga ukatili dhidi ya wanawake zikiendelea leo tunakupeka mjini Hoima Magharibi mwa Uganda kusiki maoni kutoka kwa wa mji huo kuhusu ukatili mtandaoni yakienda sanjari na…
Vijana wanachangia pakubwa katika uundaji wa viwanda vinavyowanufaisha watu na kulinda sayari. Jukumu lao limetambuliwa leo Jumatano katika siku ya Generation Future ya Mkutano wa Kimataifa wa Viwanda unaofanyika Riyadh…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Usafiri Endelevu Duniani kwa kuonya kwamba mifumo ya usafiri duniani ambayo ni muhimu kwa uchumi na maisha…
Katika maeneo yaliyoghubikwa na athari za mabadiliko ya tabianchi kaskazini mwa Kenya, wafugaji wamekuwa wakikumbwa na changamoto kubwa kwani ukame na mafuriko, vinatishia sio tu mali zao bali pia maisha…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa mameneja na wasimamizi wa miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini kuhakikisha wanalinda na kusimamia maslahi ya watanzania waliopata fursa ya kuajiriwa na…
DAR ES SALAAM: The Director of Presidential Communications at State House, Bakari Machumu, has resigned from his position as Vice Chairman of the Tanzania Editors’ Forum (TEF). Machumu submitted his…
IDADI ya vifo vinavyotokana na mlipuko wa virusi vya Marburg nchini Ethiopia imeongezeka na kufikia watu sita, kwa mujibu wa taarifa iliyothibitishwa na Shirika la Habari la Ethiopia. The post…
KAMA ni shabiki wa Coastal Union (Wagosi wa Kaya) na ulikuwa na mipango ya kutaka kushuhudia mechi za usiku kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati wababe hao wa zamani wa…
Duru zenye taarifa zimedokeza kuwa, mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman uliofanyika wiki iliyopita katika Ikulu wa White House ulishuhudia…
“Nawaomba Watanzania, wananchi wenzangu mnisaidie niweze kupata matibabu kokote ya kuwekewa...
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier anaanza ziara ya siku tatu nchini Uhispania Jumatano.
TAASISI zinazohusika na kuzuia na kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu zimetakiwa kuongeza ubunifu na kutumia mbinu za kisasa kubaini vyanzo vyote vya uhalifu huo, ambao umeendelea kuwaathiri kwa kiwango…
ISTANBUL: TANZANIA has assured stakeholders in the Health Sector to continue using research results, accurate statistics, and international cooperation to improve health services for its citizens, as it is the…
Muziki wa reggae umepata pigo jingine. Baada ya kudondoka magwiji kadhaa wa miondoko hiyo...
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has reaffirmed its commitment to supporting taxpayers and fostering voluntary compliance during a high-level meeting with Barrick Gold Mine. TRA Commissioner General,…
Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye kilele cha mkutano wa siku mbili wa viongozi hao uliofanyika mjini Luanda, nchini Angola.
IRINGA: THE Chancellor of the University of Dar es Salaam, Former President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, presided over the 17th graduation ceremony of the Mkwawa University College of Education (MUCE)…
Ripoti ya kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Kongo MONUSCO inaonesha kuna ongezeko la ukiukaji wa haki za binadamu.
Nchi za Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika zimesisitiza umuhimu wa kuwa na ushirikiano wa karibu ili kufungua milango ya fursa zaidi kati yao.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
Ikulu ya Urusi Kremlin, imethibitisha kuwa mwakilishi wa Marekani Steve Witkoff atakutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin wiki ijayo huku Marekani ikiendeleza juhudi za kupata makubaliano ya kuumaliza mzozo…
Vyombo vya habari nchini Hispania vimeichana Barcelona bila huruma baada ya timu hiyo kuonyesha...
Gavana wa Jimbo la Darfur nchini Sudan, Minni Arko Minnawi, ameviambia vyombo vya habari kuwa, katika kipindi cha siku tatu tu Wasudan 27,000 waliuliwa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka…
Mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Ulaya imetoa hukumu kwamba Poland inalazimika kuzitambua ndoa za jinsia moja zilizosajiliwa katika nchi zingine wanachama wa umoja huo japokuwa mahusiano kama hayo…
Jeshi la Israel limetangaza operesheni mpya lililoitaja kuwa y kupambana na ugaidi" kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja ya jeshi na Shirika la Ujasusi la…
Majeshi ya serikali ya Sudan yamedai kuwa yamezuia jaribio la wapiganaji wa RSF kufanya mashambulizi licha ya kundi hilo kutangaza kusitisha mapigano siku ya Jumatatu.
Wafanyakazi katika hekalu la Kibudha nchini Thailand wamepatwa mshangao baada ya mwanamke...
Takriban watu milioni sita wanakabiliwa na njaa kali Sudan Kusini, idadi sawa na nusu ya raia wote nchini humo. Kulingana na Shirika la kimataifa la kupambana na umasikini la Oxfam,…
DODOMA: WHEN Tanzania reflects on the past four years under President Samia Suluhu Hassan, one theme stands out: transformation powered not only by political will, but by partnerships that have…
IRINGA;Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk Jakaya Kikwete, ameongoza mahafali ya 17 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) mjini…
Kremlin imeripoti leo Jumatano “mambo chanya” katika mpango wa Marekani wa kutatua mgogoro nchini Ukraine, huku ikisisitiza kwamba bado haijaijadili “kwa undani na mtu yeyote.” Imechapishwa: 26/11/2025 – 10:56 Dakika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Said Kabuga amefariki dunia baada ya kutumbukia...
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Madaba wameamua kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana ili kulinda watoto dhidi ya changamoto za usalama na kusitisha mimba za utotoni. Je,…
Rais wa Tunisia Kais Saied amemwitisha Balozi wa Umoja wa Ulaya Giuseppe Perrone leo Jumatano ili “kuelezea malalamiko yake makali kuhusu kushindwa kuheshimu sheria za kidiplomasia,” kulingana na taarifa fupi…
Tanzania imechukua hatua madhubuti za kupunguza vifo vya watoto wachanga kupitia ushirikiano...
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wenyeviti wa mitaa na askari polisi wa ngazi ya kata kuimarisha ushirikiano katika kulinda amani na usalama ndani ya…