Liverpool yapigwa tena nyumbani, Arne Slot hatarini
Mwendo mbaya wa Liverpool msimu huu umeendelea baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa PSV...
Mwendo mbaya wa Liverpool msimu huu umeendelea baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa PSV...
Kylian Mbappe amefunga mabao manne na kuiwezesha Real Madrid kushinda dhidi ya Olympiacos...
Walinzi wawili wa jeshi la kitaifa la Marekani wapo katika hali mahututi baada ya kujeruhiwa vibaya katika shambulio la risasi karibu na Ikulu ya Marekani usiku wa kuamkia leo Alhamisi.…
đź”´#MAGAZETI: IGP ABURUTWA MAHAKAMANI- 27 NOVEMBA 2025
Watu 44 wamepoteza maisha jijini Hong Kong huku wengine zaidi ya mia mbili wakiwa hawajulikani walipo,kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza jumba lenye orofa 31. Imechapishwa: 27/11/2025 – 04:31Imehaririwa: 27/11/2025 –…
Nchini Guinea-Bissau jeshi limechukua udhibiti wa nchi hiyo ambayo imekuwa ikikabiliwa na mvutano wa kisiasa baada ya rais na mpinzani wake kwenye uchaguzi wa Jumapili kujitangaza washindi katika uchaguzi huo.Aidha…
Jeshi la Guinea-Bissau limeipindua serikali ya rais Umaro Sissoco EmbalĂł Jumatano jioni na kutangaza kuchukua madaraka.
Madereva wa Serikali wanaoendelea kukiuka Sheria za barabarani kwa makusudi. Je, wako juu ya Sheria za nchi.? #swalilakipimajoto. #27Novemba 2025
Wabunge kadhaa wa chama cha Republican nchini Marekani, wameukosoa vikali mpango wa amani uliopendekezwa na Rais Donald Trump ili kumaliza vita vya Ukraine, wakisema mpango huo unaipendelea Urusi.
Watu 44 wamefariki na wengine zaidi ya 270 haijulikani walipo huko Hong Kong, kufuatia ajali mbaya ya moto iliyotokea kwenye majengo kadhaa ya ghorofa.
Kundi la Hamas limetoa wito kwa nchi wapatanishi katika mzozo huo wa Mashariki ya Kati, kuishinikiza Israel kuruhusu wapiganaji wake waliojificha kwenye mahandaki kusini mwa Gaza kuondoka eneo hilo kwa…
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 27, 2025
Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anafuatilia matukio ya Guinea Bissau kwa wasiwasi mkubwa baada ya baada ya jeshi la nchi hiyo jana Jumatano kumuondoa madarakani…
Shirika la OXFAM limetangaza kuwa, takriban watu milioni sita wanakabiliwa na baa la njaa kali Sudan Kusini, idadi ambayo ni sawa na nusu ya raia wote nchini humo.
Mataifa ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika yamesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili katika mji mkuu wa Angola, Luanda.
Rais Xi Jinping wa China ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu katika Ukanda wa Gaza
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, juhudi za kimataifa za kupambana na ukimwi zimepitia hali ngumu kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili kimataifa.
Ingawa karne moja iliyopita, ni asilimia 0.25 tu ya fedha za uchaguzi wa Marekani ndizo zilizotoka mifukoni mwa watu 100 matajiri zaidi wa nchi hiyo, lakini leo, dola moja kati…
Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2025.
Urusi imesema kuwa majeshi yake yamefanya mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati na uchukuzi nchini Ukraine+++Mamlaka ya kupambana na ufisadi nchini Hong Kong imesema imeanzisha uchunguzi kuhusu ukarabati uliokuwa ukiendelea katika…
Jeshi nchini Guinea-Bissau latangaza kuipindua serikali ya rais Embalo. Wabunge wa Republican waukosoa mpango wa amani wa Trump unaolenga kuumaliza mzozo wa Ukraine. Watu 44 wafariki Hong Kong kufuatia ajali…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania unatajwa kuwa miongoni mwa nguzo muhimu za ukuaji wa uchumi wa taifa na pato la wajasiriamali wengi waliopo kwenye mnyoroor wa thamani wa…
Maafisa kadhaa wa kijeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza Jumatano jioni kuipindua serikali ya rais Umaro Sissoco EmbalĂł na kumtia mbaroni wakati matokeo ya uchaguzi wa rais yakisubiriwa kutangazwa Alhamisi.
Maafisa kadhaa wa kijeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza Jumatano jioni kuipindua serikali ya rais Umaro Sissoco EmbalĂł na kumtia mbaroni wakati matokeo ya uchaguzi wa rais yakisubiriwa kutangazwa Alhamisi.
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26 NOVEMBA 2025
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama nchini kote kufuatia msururu wa mauaji na utekaji wa watu.
#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limetangaza mafanikio makubwa katika msimu wa minada ya Korosho baada ya kuuza jumla ya tani 273,000 za Korosho ghafi kupitia minada 17, ambapo thamani…
Tanzania imeendelea kufanya utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia teknolojia ya ndege nyuki (drone) katika Kata ya Basotu, wilayani Hanang, mkoani Manyara ili kubaini maeneo yenye hifadhi madini kwa…
Uturuki pia imesema kuwa Ankara itaendelea kutoa msaada wa amani, ustawi, na usalama kwa matabaka yote ya wananchi wa Syria.
Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) barani Ulaya, Hans Kluge, amemkabidhi Rais Recep Tayyip Erdogan tuzo hiyo katika Mkutano wa 11 wa Kimataifa wa Tiba wa Uturuki…
DAR ES SALAAM; TUZO za TFF msimu wa mwaka 2024/25 zilizokuwa zifanyike Desemba 5, mwaka huu zimeahirishwa. Taarifa iliyosainiwa na Ofisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu…
Kamanda wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ambaye anapigana dhidi ya kikosi hasimu cha wapiganaji wa RSF tangu Aprili 2023, amemwomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kusaidia kuleta amani.
UFILIPINO; TIMU ya taifa ya wanawake ya mchezo wa futsal leo Novemba 26, 2025 imepata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano ya kombe la kunia kwa kuifunga New Zealand mabao…
Wakulima kutoka vijiji vya Kitandililo na Mlowa, Halmashauri ya Mji wa Makambako, wamekuwa na uelewa tofauti kuhusu elimu ya upimaji wa afya ya udongo. Hali hiyo imesababisha kuwepo kwa makundi…
Wakili wa kujitegemea, Beatus Linda amezikwa leo Jumatano Novemba 26, 2025 nyumbani kwao Mtaa...
Wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi hapa nchini wamebuni mashine ya kidijitali inayowawezesha wateja kujihudumia bila kumtegemea mhudumu, ikiwemo kuona orodha ya vyakula, kuagiza na kulipia moja kwa moja…
DAR ES SALAAM: Oasis Financial Services Limited has named Ms Theodora Joseph John as its new Chief Executive Officer, with her appointment set to take effect on January 2, 2026.…
Huenda mwarobaini wa kukabiliana na ajali za barabarani ukapatikana hivi karibuni, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kumuagiza Waziri wa Uchukuzi kukaa na wadau wa usafirishaji, ikiwemo Wizara ya…
Ukuaji wa matumizi ya gesi asilia maeneo mbalimbali nchini, umetajwa kuwa sababu ya kukua kwa...
Maafisa wa jeshi wanaojiita “Uongozi wa Juu wa Kijeshi kwa Marejesho ya Utulivu” wamesitisha uchaguzi, vipindi vya vyombo vya habari, huku wakilitaka taifa “liwe na utulivu,” kwa mujibu wa chombo…
#HABARI: Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji mkoani humo, limeendesha msako maalum kwenye maeneo ya barabara Kuu ya kutoka Nyakahula hadi Nyakanazi iliyoko…
Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na China umetajwa kuongeza fursa kwa wanafunzi kujifunza lugha ya Kichina, hatua inayosaidia kuimarisha tamaduni, ujuzi na upatikanaji wa fursa…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya imeanza kutoa mafunzo ya magonjwa ya dharura na mahututi kwa watoa huduma za afya na wanafunzi wa kada za afya kwa lengo la kuokoa…
đź”´TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 26 NOVEMBA 2025-WANAOVUNJA SHERIA BARABARANI WAWEKWA MTEGONI
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mary Matogolo (22), anayekabiliwa na kesi ya...
Wakati ujenzi wa madaraja ya Somanga, Mtama, Kitapwa, Mikereng’ende na Matandu, yaliyoharibiwa...
Wakati Jeshi la Polisi, likiendelea kuchunguza kifo cha Said Kabuga, mwanafunzi wa Chuo Kikuu...
Wakati wafanyabiashara wakilalamikia danadana za uzinduzi wa Soko la Kariakoo, uongozi umekuja...