Azam FC yaanza vibaya makundi CAFCC
TIMU ya Azam imeanza vibaya mechi za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa mabao 2-0 na AS Maniema Union, katika mechi ya kwanza iliyopigwa kwenye Uwanja wa…
TIMU ya Azam imeanza vibaya mechi za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa mabao 2-0 na AS Maniema Union, katika mechi ya kwanza iliyopigwa kwenye Uwanja wa…
#HABARI: Wakulima wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wamelalamikia kupanda kwa bei ya mbolea ya ruzuku, ikiwemo mbolea kupandia mazao aina ya Dap, inayozalishwa na kampuni ya mbolea nchini (TFC), ambapo kwa…
BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ikifikisha pointi…
Kwenye Habari Wikiendi Leo hii Mahojiano na msanii wa muziki ABBASI MOHAMMED maarufu 20 Percent. Muda: Kuanzia saa mbili kamili usiku 2:00 usiku UTV. Usikose.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kwamba Israel itafanya kila iwezalo, kuilizuwia kundi la Hezbollah kujiimarisha tena nchini Lebanon.
Wanafunzi 50 kati ya 300 waliotekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha katika shule ya Kikatoliki ya Mtakatifu Mary, iliyopo kwenye jimbo la katikati mwa Nigeria la Niger, wamefanikiwa kuwatoroka…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ametilia mashaka iwapo makubaliano yanaweza kufikiwa kuhusu mpango wa amani wenye vipengee 28 uliopendekezwa na rais wa Marekani Donald Trump ili kumaliza vita vya Ukraine.
Imeelezwa kuwa, Zanzibar inaendelea kushuhudia mabadiliko ya namna vijana wanavyopata elimu na...
Rais Trump, ambaye anataraiwa kupkea uenyekiti wa G20 kwa mwaka ujao, alisusia kuhudhuria kwa madai kuwa Afrika Kusini inawadhulumu Wazungu wa Afrikaanm jambo ambalo Afrika Kusini imekana
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA - 23 NOVEMBA 2025- WAVUVI WAOMBA TABIA YA WIZI IKOMESHWE
Haijaisha mpaka imalizike. Ni usemi unaoweza kuelezea hatua ya wapigakura wanne wa Jimbo la...
#HABARI: Wakazi wa Mtaa wa Muharakani, Kata ya Picha ya Ndege, Kibaha, mkoani Pwani, wamelalamikia ujenzi wa fremu za maduka katika eneo wanalodai kuwa ni la viwanja vya michezo huku…
KOCHA wa TRA United, Mrundi Etienne Ndayiragije, ameweka rekodi mbili na timu hiyo baada ya ushindi wa bao 1-0 juzi Jumamosi dhidi ya Tanzania Prisons katika mechi ya Ligi iliyopigwa…
#HABARI: Baadhi ya wananchi wanaoishi Mtaa wa Kwedinguzu, katika Kata ya Malezi, wilayani Handeni, mkoani Tanga, wamekosa pahala pa kuishi na kuabudia baada ya mvua kali ilioambatana na upepo kuezua…
#HABARI: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro, jijini Luanda nchini Angola…
NYOTA wa Namungo, Cyprian Kipenye, amesema kati ya malengo aliyojiwekea na mchezaji mwenzake, Andrew Chamungu, ni kuhakikisha wanaendelea kufanya vizuri na kuendeleza pacha kali na timu hiyo, kama walivyofanya wakiwa…
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amevikosoa vyombo vya habari vya kimataifa kwa kile amesema hivi karibuni vimetoa ripoti za upande mmoja kuhusu vurugu zilizoshuhudiwa wakati na baada ya…
BAADA ya Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, kuiongoza timu hiyo katika mechi nne za Ligi Kuu Bara msimu huu bila kuonja ladha ya ushindi, amesema ana kazi kubwa ya…
Watu watano wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyotokea leo Novemba 23, 2025 maeneo ya Mbuyuni, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha baada ya magari mawili kugongana. Akithibitisha tukio hilo,…
Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa vikwazo vya Marekani vimeifanya hali ya kibinadamu nchini Cuba kuwa mbaya sana na ametaka kuondolewa haraka vikwazo hizvyo.
Serikali itatoa hati za kimila 6,000 kwa wakulima na wafugaji katika halmashauri sita za Mkoa...
Kama unapata maumivu ya kichwa yanayojirudia na huchukui hatua ya kumwona daktari bali unameza...
Mzazi anapaswa kutambua nafasi yake ya msingi katika kuhakikisha mtoto anautumia muda vyema...
BAADA ya Singida Black Stars kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya CR Belouizdad katika mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kipa wa timu hiyo, Hussein…
BEKI wa kushoto wa Coastal Union, Ally Ramadhan ‘Oviedo’ amefichua sababu ya kupenda kusaini mkataba wa mwaka mmoja kila timu anayopita ikiwamo ishu za ofa.
TIMU ya taifa ya Wanawake Tanzania imeanza vibaya mechi zake za Kombe la Dunia la Futsal inayoendelea huko Ufilipino baada ya kupokea kichapo cha mabao 10-0 kutoka kwa Ureno.
#HABARI: "Kitendo kilichofanywa na CNN kimefanywa na vyombo vya habari vingine vya Kimataifa BBC, Al-Jazeera, Dutche Welle sio sawa na sio haki katika misingi na maadili ya uandishi wa habari…
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya kikosi bora cha mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Mtanzania Hasnath Ubamba anayekipiga FC Masar ya Misri akiwemo ndani.
BEKI wa kushoto wa Azam FC ya vijana, Ismaili Omari amesaini mkataba wa miezi sita kuitumikia klabu ya AIK Solna inayoshiriki Ligi Kuu ya Sweden.
LICHA ya ugumu wa Ligi Kuu ya Wanawake Hispania lakini mshambuliaji wa Kitanzania, Opah Clement ameendelea kupata nafasi kwenye kikosi cha SD Eibar.
KIUNGO mshambuliaji wa Kitanzania, James Damas anayekipiga MTV Wolfenbuttel U19 ya Ujerumani amesema huu ni msimu wake wa mwisho kuitumikia timu hiyo chini ya miaka 19.
Umewahi kuuziwa bidhaa mbovu? basi hizi hapa hatua za kisheria za kuchukua ikiwa umeuziwa kitu kibovu au kisicho na ubora uliotarajiwa. #SheriaUpdates
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anasema kuwa Afrika italipa "gharama kubwa " kwa mabadiliko ya tabianchi licha ya kuwa imefanya "kidogo sana" kuyasababisha.
Viongozi wa G20 walifungua siku ya mwisho ya mkutano wao wa kilele wa Afrika Kusini siku ya Jumapili kwa kikao kinachohusu madini muhimu, masuala ya ajira, na akili bandia.
Jeshi la Sudan limekabiliana vikali mapiganoni dhidi ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika medani tofauti za vita huko Kordofan ya Kaskazini na Magharibi huku makumi ya…
Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amevituhumu vyombo vya habari vya kimataifa kuchapisha habari zinazoegemea upande mmoja.
#HABARI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Mh.Sharif Ali Sharif, amewataka Vijana wa Kitanzania kutumia fursa wanazopata kuwa wabunifu katika kusimamia na kuendesha kampuni zao…
"Tumedhamiria na tuko tayari kusimama na watu wa Palestina, kama tunavyofanya siku zote," Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema katika mkutano wa kilele wa G20.
Jeshi la Polisi mkoani Njombe limewataka madereva wa bodaboda wilaya ya Njombe kutumia vizuri...
DAR ES SALAAM: At a lively press conference held this afternoon in Dar es Salaam, Government spokesperson and Permanent Secretary in the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports, Gerson…
Afrika Kusini imefikia malengo muhimu katika mkutano wa kilele wa kundi la mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi duniani G20 licha ya mivutano ya kimataifa. Hayo yameelezwa na shirika la…
Benki ya Diamond Trust (DTB) imeweka mikakati ya kupanda miti milioni moja hadi ifikapo mwaka...
#HABARI: Wahitimu wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuwapa mikopo kwa ajili ya mitaji ili waweze kuendeleza bunifu zao, kujiajiri…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala haramu wa Israel hauna mpaka katika kutenda jinai na wqala hauheshimu ahadi wala sheria…
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amesema kuwa, nchi yake imesimama kidete dhidi ya vitisho vyote vya hivi karibuni vya kijeshi vya Marekani.
Ripoti mpya imeonesha kuwa matukio ya vurugu na hujuma dhidi ya misikiti nchini Uholanzi yameongezeka kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha muongo mmoja uliopita. Hayo ni kwa mujibu wa utafiti…
Afrika Kusini imefikia malengo muhimu katika mkutano wa kilele wa kundi la mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi duniani G20 licha ya mivutano ya kimataifa. Hayo ni kulingana na shirika…
DAR ES SALAAM: THE construction of urban railway lines, Bagamoyo Port and upgrading of Kigoma Port are major projects Tanzania is currently implementing, the government Spokesperson, Gerson Msigwa, unveiled to…
Mawaziri na viongozi kutoka nchi 44 maskini zaidi duniani wameaahidi kuharakisha ujenzi wa viwanda jumuishi na kuimarisha uthabiti mbele ya changamoto za kimataifa, katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa…