Tanzania yashutumu vyombo vya habari vya kigeni kwa ‘kuichafua na kuhujumu uchumi wa nchi’
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Michezo Sanaa na Utamaduni Gerson Msigwa amekemea taarifa zilizochapishwa na vyombo vya habari vya nje kuwa ziliendeshwa na nia mbaya…