Watu 25 wauawa Ukraine, Marekani yaandaa mpango wa amani
Shambulio la Urusi katika mji wa magharibi mwa Ukraine wa Ternopil siku ya Jumatano limesababisha vifo vya watu wasiopungua 25 wakiwemo watoto wawili, huku wengine zaidi ya 60 wakijeruhiwa.
Shambulio la Urusi katika mji wa magharibi mwa Ukraine wa Ternopil siku ya Jumatano limesababisha vifo vya watu wasiopungua 25 wakiwemo watoto wawili, huku wengine zaidi ya 60 wakijeruhiwa.
Afrika Kusini inajiadaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa G20, unaowakutanisha viongozi kutoka mataifa tajiri duniani, kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumu na kisiasa, hata hivyo Marekani haitawakilishwa katika mkutano huo…
Kesi tatu za uhaini zinazowakabili washtakiwa 227 zimetajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Dereva wa bodaboda, Dominic Ezekiel na wenzake watano, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
Raia wa Gaza wanakabiliwa na hali ngumu baada ya mvua kubwa za hivi majuzi zilizosababisha mafuriko na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu muhimu.
Maandalizi ya maonyesho ya biashara, viwanda na kilimo ya mwaka 2025 yanayotarajiwa kuanza...
Mratibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na misaada ya kibinaadamu Tom Fletcher, ametahadharisha kuwa vitendo vya ukatili vinavyoendelea huko Sudan vinapuuzwa na wahusika hawawajibishwi kabisa.
Waziri Mkuu wa China Li Qiang anaanza siku ya Jumatano ziara ya siku mbili nchini Zambia.
Uongozi wa timu ya Arsenal umetangaza Jumatano kuwa utasitisha mkataba wa ushirikiano na nchi ya Rwanda ifikapo mwishoni mwa msimu huu baada ya kuafikiana na bodi husika mjini Kigali.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewatahadharisha wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan kwamba...
KIKOSI cha Azam FC kimeondoka jana Jumatano kwenda DR Congo kuwahi mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema Union, huku mshambuliaji raia wa…
Chama tawala nchini Tanzania CCM kimedai kwamba kuna watu wasiokuwa na nia njema na taifa hilo ambao wanalipwa fedha ili kuichafua taswira ya Tanzania kimataifa. Katibu wa Itikadi na Uenezi…
SIMBA Queens imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) baada ya kuitandika Bunda Queens mabao 3-0, mechi iliyopigwa leo Novemba 19, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar.
#HABARI: Wimbi la watoto kujinyonga linaendelea kuwatesa wazazi Kisiwani Pemba, baada ya mtoto mwingine aliyefahamika kwa jina la Muhene Seif Muhene (15), kujinyonga kwa kutumia waya wa pasi ya umeme…
TIMU ya mpira wa kikapu ya Dar City kutoka Tanzania, inaendelea kufanya kweli katika mbio za kufuzu hatua ya nusu fainali, baada ya kupata ushindi wa pili mfululizo kwenye michuano…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Bakari Steven Machumu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, akichukua nafasi ya Sharifa Nyanga ambaye amepangiwa majukumu mengine ya…
BEKI wa kimataifa wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Kelvin Yondani anayekipiga kwa sasa New King iliyopo Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) amefichua sababu zilizomfanya aibukie huko kuwa…
#HABARI: Maafisa wawili wa Polisi wameuawa baada ya gari la Kitengo cha Doria ya Mipakani (BPU), kukanyaga kilipuzi (IED), kando ya barabara ya Liboi – Kulan, katika Kaunti ya Garissa,…
HAPA NA PALE KUTOKA TABORA--- 19 NOVEMBA 2025
KOCHA wa Pamba Jiji, Mkenya Francis Baraza amesifu kiwango kinachoonyeshwa na beki wa kati wa kikosi hicho, Abdulmajid Mangalo tangu ajiunge na timu hiyo Agosti 7, 2025 licha ya kukaa…
Nchini Tanzania chama tawala CCM kimesema kinatambua uwepo wa watu wasiokuwa na nia njema na taifa hilo lililopo ukanda wa Afrika mashariki na kwamba watu hao wanalipwa pesa, ili kuichafua…
Benki ya CRDB imetangaza mafanikio ya kihistoria baada ya kuiorodhesha rasmi hatifungani yake...
KIUNGO mshambuliaji wa Singida Black Stars, Marouf Tchakei, amesema wanatambua ugumu wanaoenda kukutana nao mbele ya CR Belouizdad ya Algeria katika mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho…
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, has appointed Tido Mhando as Presidential Advisor on information and communication matters. The announcement was made today,…
#HABARI: Wananchi wa Kijiji cha Esukuta, Kata ya Dosidosi, wilayani Kiteto, mkoani Manyara, wamelalamikia tabia ya baadhi ya wafugaji kuwashawishi watoto wao walioko shuleni, kufanya vibaya kwenye mitihani ya Kitaifa…
Mawakili wanaowatetea watuhumiwa wa kesi za uhaini waliokamatwa katika vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29 wamemuomba Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu, kuwaachia mara moja watuhumiwa…
ARUSHA: THE body of Joshua Mollel, a young Tanzanian allegedly killed in Israel by HAMAS fighters on October 7, 2023, arrived today, November 19, 2025, at Kilimanjaro International Airport (KIA).…
Mgogoro unazidi kuchukua sura mpya Sudan huku wahudumu wa kutoa misaada wakilazimika kuchagua nani wa kumuokoa. Wakati uohuo, Umoja wa Mataifa umelaani ukatili na kutokuwajibika kunakoshuhudiwa katika jimbo la Darfur.
DODOMA: THE Minister for Constitutional and Legal Affairs, Dr Juma Homera, has urged his ministry’s employees and its institutions to increase innovation in the delivery of services to serve Tanzanians…
SAFARI ya mafanikio huanza kwa maumivu kwa sababu kila hatua ya ukuaji inahitaji uvumilivu, kujitolea na kupambana na changamoto.
Homa ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro Luanda ya...
DODOMA: TANZANIA’S new monetary policy, which uses the Central Bank interest rate, has begun to show significant achievements in the country’s economy, including the strengthening of the shilling and the…
Watuhumiwa 93 wamefikishwa mahakamani kwa mara ya pili wakikabiliwa na mashtaka mawili ya...
#HABARI: Askofu Profesa Rejoice Ndalima akizungumza baada ya tukio la kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri wa Wizara mbalimbali amesema ni muhimu kwa kila Mtanzania kufungua milango ya maridhiano ili kama…
DAR ES SALAAM: WINGU Africa has officially launched new Data Center services through its Wingu Cloud Exchange (WCX) platform, a modern private cloud system hosted locally and designed for the…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha kesi tatu zinazowakabili washtakiwa 79...
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has pledged to speed up reforms to create a faster, friendlier and more predictable investment climate, positioning the Isles as East Africa’s top destination for…
DODOMA: THE Deputy Minister of Natural Resources and Tourism, Hamad Chande, has called on the management of the Ministry of Natural Resources and Tourism to offer full cooperation in fulfilling…
Serikali ikishirikiana na wadau wa kahawa imeanzisha mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuchimba visima, kujenga mabwawa na kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji ili kuongeza uzalishaji wa zao la…
MOROGORO: WRITTEN employment contracts for domestic workers have been described as a painful and hopeless issue for many, as most employers avoid entering into formal agreements despite the Employment and…
KESI inayowakabili watuhumiwa 93 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uhalifu yaliyotokea wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Desemba 2 baada ya upande wa…
Serikali ya Ukraine imesema makombora na droni za Urusi, zilizovurumishwa katika mji wa Magharibi wa Ternopil nchini humo, yamesababisha mauaji ya watu 20 wakiwemo watoto wawili.
DAR ES SALAAM:MSANII nguli wa muziki wa taarabu nchini, Khadija Kopa, amewataka watengeneza maudhui na wanahabari wa mitandaoni kuacha kuangazia tu mabaya ya wasanii, badala yake wasaidie kuwashauri na kuwaelekeza…
WIKI iliyopita, naweza kusema ilikuwa Wiki ya Bunge la 13 tangu Novemba 8 hadi 14, 2025. Katika kipindi hicho, wabunge ambao ni matunda ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na…
Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga amesema benki hiyo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeagiza mshtakiwa namba 18 katika kesi ya makosa ya uhaini...
Dar es Salaam; KUZINDULIWA kwa Jukwaa la Wingu Cloud Exchange (WCX) kumeelezwa kutaimarisha kwa kiasi kikubwa uchumi wa kidijitali. Hatua hiyo imekuja baada ya Kampuni ya Wingu Africa leo Novemba…
Chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza imezidi kuwa mbaya zaidi, huku Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza ikionya kuhusu matokeo ya kuendeleza hali hii.
Iran imekosoa azimio lililoandaliwa na Marekani na kupasishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaloweka utaratibu wa kutumwa Gaza usimamizi wa nchi ajinabi na kutahadharisha kuwa azimio hilo…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewatahadharisha viongozi duniani kwamba ugaidi katika eneo la Sahel barani Afrika ni tishio linaloongezeka duniani.