Shambulizi la droni lasababisha kifo cha mtu mmoja Ukraine
Mtu mmoja ameuawa na mwengine kujeruhiwa katika mashambulizi makali ya droni ya Urusi kwenye eneo la Dnipro mashariki mwa Ukraine. Haya ni kwa mujibu wa Gavana wa eneo hilo Vladyslav…
Mtu mmoja ameuawa na mwengine kujeruhiwa katika mashambulizi makali ya droni ya Urusi kwenye eneo la Dnipro mashariki mwa Ukraine. Haya ni kwa mujibu wa Gavana wa eneo hilo Vladyslav…
Marekani na Urusi zimewasilisha rasimu pinzani za maazimio kuhusu mzozo wa Gaza kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na kuibua hali ya mvutano kati ya mataifa hayo mawili…
Aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Roger Lumbala, ameanza mgomo wa kula ili kupinga kesi dhidi yake iliyoanza wiki hii .
Baraza la Usalama la UN limepigia kura azimio la kuongeza muda wa ujumbe wa kulinda amani katika eneo la Abyei lenye utajiri wa mafuta na linalozozaniwa kati ya Sudan na…
Ongezeko la bei za baadhi ya bidhaa za kimsingi nchini Marekani limeilazimisha serikali kujizuia kutoza ushuru wa ziada kwa uagizaji wa baadhi ya bidhaa kutoka Amerika Kusini.
Tangu kuanza kwa vita nchini Sudan mnamo mwezi Aprili 2023, ripoti kadhaa za wataalamu wa Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyo ya kiserikali ya kimataifa zimetaja kuwepo kwa usafirishaji haramu…
TANGA: CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9. Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa…
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi leo anawaapisha mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni.
SERIKALI imepanga kutumia sh milioni 584 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari Butengolumasa wilayani Chato mkoa wa Geita ili kusogeza huduma ya elimu. Mradi wa ujenzi wa…
#HABARI: Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifadhi na uendelezaji wa rasilimali za misitu na nyuki, pamoja na…
RAIS wa Yanga, Mhandisi Hersi Said amesema gharama za ada kwa Yanga Soccer School itategemea na maeneo ili kuhakikisha ndoto ya kila mtoto kuwa mchezaji inatimia.
Ni msemo uliozoelekea mitaani kuwa wanawake wenye umri mkubwa ni benki za vijana.
MKOA wa Mara umeendelea kunufaika na uwekezaji wa Sekta ya Madini baada ya kutekeleza zaidi ya miradi 398 ya maendeleo yenye thamani ya Sh Bilioni 33.81 katika wilaya zote ndani…
Yanga imemkabidhi Pitso Mosimane jukumu la kuwanoa makocha wa Mpango wake maalum wa soka la...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limekemea vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, huku...
SUDAN: THE United Nations Security Council has voted to renew a UN Interim Security Force for Abyei (UNISFA), the peacekeeping mission in the oil-rich disputed region between Sudan and South…
Azimio, lililoandikwa na Marekani, lilipata kura 12 huku mataifa mengi wanachama yakiibua wasiwasi kuhusu lugha mpya ya mamlaka ya ujumbe huo
US: US President Donald Trump on Friday said he would sue the British Broadcasting Corporation (BBC) for up to $5 billion (€ 4.3 billion), after the broadcaster apologized for a…
TIMU ya Taifa ya Ngumi za Ridhaa inatarajia kushiriki mashindano ya ngumi ya dunia yatakayofanyika Dubai, Falme za Kiarabu mwezi ujao. Mashindano hayo makubwa yanaandaliwa na Chama cha Kimataifa cha…
USA: PRESIDENT Donald Trumpsaid Friday he will ask Attorney General Pam Bondi to investigate convicted sex offender Jeffrey Epstein’s ties to many other high-profile figures, in an extraordinary step that…
Oktoba 29 imebaki kama alama ya uchungu katika kumbukumbu za Watanzania. Ni siku iliyoacha...
DRC ni mwenyeji wa mkutano wa 9 wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) leo Jumamosi, Novemba 15. Hakujakuwa na mkutano katika ngazi hii ndani ya ICGLR tangu mwezi…
Wakati maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) yakiongezeka kwa kasi na kugeuka chanzo cha mateso...
Roger Lumbala, aliyekuwa kiongozi wa waasi ameshtakiwa kwa "njama ya uhalifu kuandaa uhalifu dhidi ya ubinadamu" na "ushirikiano wa uhalifu dhidi ya ubinadamu" wakati wa vita kutoka 1998 hadi 2003.
Félicien Kabuga hatarudishwa nchini Rwanda, majaji wa Mfumo uliopewa jukumu la kukamilisha kesi zilizobaki za Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda wameamua siku ya Ijumaa, Novemba 14. Imechapishwa: 15/11/2025…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea mwaka 2030 mpango wa serikali ni kukuza sekta ya utalii lengo likiwa kufikisha watalii wa ndani na nje milioni 8. Amesema hayo wakati akifungua…
EGYPT: JKT Queens face a must-win encounter today as they take on TP Mazembe in their final group-stage match of the CAF Women’s Champions League in Ismailia, Egypt, with victory…
Washirika wa biashara barani Afrika wamethibitisha kujitolea kwao kuendeleza ushirikiano kati ya watunga sera, wawekezaji, wavumbuzi na viongozi wa sekta ya fedha, kwa kutilia mkazo mkubwa maendeleo ya ujumuishaji wa…
Katika kupanua soko la bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wa Tanzania, halmahsauri ya jiji la Dar es Salaam imefanikiwa kuwawezesha baadhi ya wajasiriamali wa jiji hilo kushiriki maonesho makubwa ya bidhaa…
Je, mwili wako umekuwa mzito? Fanya mazoezi haya ili kuondoa hali hiyo. #AzamTVUpdates #UTV108 #hellowikiendi
Bunge la Benin limepitisha marekebisho ya kikatiba mapema Jumamosi asubuhi, Novemba 15, kwa wingi unaohitajika wa nne kwa tano, huku kura 90 zikiunga mkono na 19 zikipinga. Imechapishwa: 15/11/2025 –…
KILWA: KILWA Kisiwani is an island, national historic site and hamlet community located in the township of Kilwa Masoko, the district seat of Kilwa District in the Tanzanian region of…
Azimio hilo lilipitishwa bila kura wakati Baraza likitafuta uchunguzi kuhusu ukatili wa hivi majuzi uliofanywa ndani na karibu na mji wa Sudan.
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Ijumaa ametangaza kuachana hadharani na mshirika wake wa muda mrefu na kiongozi wa MAGA Marjorie Taylor Greene Ijumaa, Novemba 14. Mbunge huyo wa…
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump amesema atachukua hatua za kisheria dhidi ya BBC kufuatia jinsi hotuba yake ilivyohaririwa na kipindi cha Panorama, baada ya shirika hilo kuomba msamaha lakini…
TETESI za usajili zinadai klabu ya Liverpool inamtafakari nyota wa Bayern Munich, Michael Olise (23), kama mbadala wa Mohamed Salah wa Misri (33), na ipo tayari kutumia kiasi kikubwa cha…
Rais Samia Suluhu Hassan pia ameviagiza vyombo vya usalama kuwa na subira kwa vijana waandamanaji ambao "walifuata tu umati" baada ya mamia kufunguliwa mashtaka ya uhaini.
NAIROBI: TANZANIA’S representatives at the 2025 FIBA Women’s Basketball League Africa (WBLA) Zone V Qualifiers, Fox Divas and Don Bosco Lady Lioness, wrapped up their group-stage campaigns at the Nyayo…
SUDAN: NATIONAL U-17 football team Head Coach Aggrey Moriss has expressed confidence that his squad is in top condition ahead of the regional tournament, ahead of the opening match against…
Waswahili wanasema cha kale dhahabu, lakini dhahabu isipong’arishwa haiwezi kuwa na thamani...
🔴WATOTO WETU ....NOVEMBA 15, 2025
Msanii wa Hip Hop Marekani, Ja Rule (49), amefunguka kuhusu uhasama (beef) wa muda mrefu kati...
DODOMA: WIZARA ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifadhi na uendelezaji wa rasilimali za misitu na nyuki. Pia wanalengo…
Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Muqawama wa Ghaza amesema kuwa: Maadui walitaka kusambaratisha Muqawama kupitia vikwazo na mashinikizo, lakini kwa msaada wa Iran, Muqawama una nguvu zaidi hivi sasa…
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, makumi ya Wapalestina waliofika nchini humo kwa ndege ya kukodi hawatarudishwa bali watapewa hifadhi nchini Afrika Kusini.
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa vijana waliofanya fujo wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 akisema kuwa, walifuata mkumbo…
Mji wa Zawiya wa magharibi mwa Libya ulioko umbali wa kilomita 60 magharibi mwa mji mkuu Tripoli, umekumbwa na mashambulizi ya mfululizo ya anga. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa…
Mkuu wa jeshi la Sudan SAF Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan alisema jana Ijumaa kwamba hakutakuwa na "suluhu wala amani" kati ya jeshi analoongoza yeye SAF na Vikosi vya Msaada wa…
Zimesalia takribani wiki mbili kabla ya Harmonize kuachia albamu yake ya sita tena chini ya...
Mkuu w Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al Burhan amemtaka kila Msudan abebe silaha kupambana na waasi wa RSF akisisitiza kwamba hakutakuwa na mapatano na waasi hao.