đź”´#MAGAZETI: SAMIA ASIKIA VILIO, ASAMEHE / PANTEV ATOA MSIMAMO…..NOVEMBA 15, 2025
đź”´#MAGAZETI: SAMIA ASIKIA VILIO, ASAMEHE / PANTEV ATOA MSIMAMO.....NOVEMBA 15, 2025
đź”´#MAGAZETI: SAMIA ASIKIA VILIO, ASAMEHE / PANTEV ATOA MSIMAMO.....NOVEMBA 15, 2025
#KIPIMAJOTO: Hotuba ya Rais ya kulizindua Bunge la 13. Je, imeongeza imani na matumaini ya Watanzania kwa Taifa lao?
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 15, 2025
Leo ni Jumamosi 24 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 15 Novemba 2025 Miladia.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameitaka Uturuki iache kununua nishati ya Russia.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kwamba: Israel ilikumbaa na mashinikizo makubwa ya kukabiliana na mashambulizi ya Iran hususan katika siku za mwisho za Vita…
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) mjini Tehran, amezungumzia nguvu zinazozidi kuongezeka za Jamhuri ya Kiislamu za kupambna na madola…
Iran imepaza sauti kulaani “jinai na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu” unaoendelea nchini Sudan, ikisisitiza kuwa hali ya kibinadamu katika mji wa Al-Fasher na maeneo jirani imefikia kiwango cha…
Waziri wa zamani wa fedha wa utawala wa Kizayuni amekiri kwamba hivi sasa Israel inapitia kipindi kibaya mno cha kiuchumi na kusisitiza kwamba inabidi waishukuru Marekani kwa msaada wake kwani…
DODOMA: THE government has unveiled plans to further strengthen the mining sector in order to ensure that mineral resources contribute fully to the national economy and uplifting the economy by…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday said that the government is set to revolutionise the fisheries and livestock sectors through strategic investments, including value addition, with the aim of expanding…
DODOMA: TANZANIA continues to narrow the gender gap in national politics, with women now making up 40.5 per cent of all Members of Parliament keeping the nation firmly on track…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday inaugurated the 13th National Assembly in Dodoma, stressing that all development initiatives over the next five years will focus on uplifting and enhancing the…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has called on Tanzanians to embrace reconciliation, unity and dialogue as the nation moves forward following the unrest that erupted after the General Election. Dr…
"Hiyo Katiba ambayo tunatakiwa tuipate inatakiwa iwe ni yawananchi, isiwe Katiba ambayo ipo kwenye Mbawa za Wanasiasa, mahitaji ya Katiba kwa sasa ni Muhimu"Wakili Emmanuel Ukashu - Mchambuzi wa Masuala…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan, has stated that the government has set a target to double electricity generation to 8,000 megawatts by the year 2030, in order to match the…
"Cha kwanza nashauri Taifa kwa sasa hivi kutumia Mawasiliano ambayo yanakwenda kuponya watu, tulete taifa Pamoja tuzungumze"Makura Ndege - Mchambuzi wa Masuala ya Jamii Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 14 NOVEMBA 2025
"Unajua kilichotokea ni matokeo lakini tayari huko nyuma haya mambo yalikuwa yanaonywa, kwa sababu tumepitia nyakati ngumu kama Taifa nchi imevimba, na nchi ili iweze kuwa na muafaka lazima watu…
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameonesha mshikamano na Waturuki wa Ahiska, akisema kuwa machungu ya Wahiska 100,000 bado yanaendelea.
Siku 17 baada ya machafuko yaliyosababisha vifo na majeruhi wakati wa uchaguzi, Rais Samia...
Uwepo wa wanawake katika nafasi za uongozi pekee hakutoshi katika uwezeshaji wa wanawake, bali...
Kutana na Meshaki Mathias mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa kijiji cha Ntoija wilayani Bukoba aliyeamua kugeukia kilimo na kuanzisha shamba la migomba. Kwa sasa ana uwezo wa kuvuna…
Gharama kubwa za matibabu na unyanyapaa ni miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watu wenye jinsi tata nchini. Hali hiyo imeelezwa kuwa kikwazo kikubwa kwa kundi hilo, ambalo sasa limeiomba Serikali…
🔴MAMBO GANI YA KIPAUMBELE YAZINGATIWE KUPONYA TAIFA NA MAKOVU YA UCHAGUZI MKUU 2025 ?”
#HABARI: Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wapongezwa kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo ikiwamo kufikisha umeme katika Vijiji vyote vya…
Wabunge wa Bunge la Muungano wametoa maoni kuhusu hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa...
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari, #AzamNews imezungumza na Lezeli Jackson, Mkazi wa Dodoma aliyegundulika kuishi na kisukari baada ya kufika hospitalini kwa ajili ya matibabu ya mgongo.…
#HABARI: Wakulima wa Korosho katika maeneo yanayohudumiwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD, wameelezea furaha na kuridhishwa kwao baada ya chama hicho kufanya malipo ya awali kwa haraka…
Baadhi ya vijana wanatamani kuwa na elimu ya sekondari kama moja ya hatua muhimu ya kupevusha ndoto zao katika maisha, lakini sababu mbalimbali ikiwemo umaskini, mimba za utotoni na nyinginezo…
Jumla ya vijiji 20 vilivyopo katika wilaya nne za mkoa wa Tanga vimenufaika na mradi wa utunzaji wa mazingira ya bahari kupitia vikundi vya Mfuko wa Kutunza Bahari (MKUBA), unaotekelezwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali itafanya...
Rais Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya...
đź”´TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 14, 2025 -RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WALIOPOTEZA NDUGU OKTOBA 29
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania kama Taifa linapenda liheshimiwe kama linavyoheshimu...
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa Serikali ya awamu ya sita katika muhula wake wa pili...
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa leo Ijumaa limewaagiza wachunguzi wake kuchunguza madai ya ukatili katika mji wa El-Fasher nchini Sudan na kuwatambua wahusika ili waweze kufikishwa…
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has said that the government is in the process of starting trials of the implementation of universal…
Miaka 30 tangu kuangushwa kwa Mobutu Sese Seko kunafunguliwa maonyesha kuhusu kiongozi huyo kwenye Makumbusho ya Kitaifa yaliyoko mjini Kinshasa. Historia yake inaangaziwa. Kuna nini kwenye maonyesho haya
Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla...
DODOMA: TANZANIA has outlined ambitious plans to strengthen its mining sector, aiming to become the main mineral trading hub in East and Central Africa by 2030, while boosting the sector’s…
Namatai Kwekweza, mwana harakati wa demokrasia kutoka Zimbabwe, amepokea tuzo ya heshima ya hali ya juu kutoka Ujerumani ambayo hupewa watu kutoka Afrika waliofanya harakati za kiwango cha juu.
DODOMA: TANZANIA has made a sky-high leap in modernizing its transport infrastructure, leveraging its strategic geographic position as a gateway to East and Southern Africa. The Tanzanian government aims to…
Wakati zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza kwa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 34 kulipa faini ya Sh40,000, kila mmoja...
SERIKALI katika miaka mitano ijayo, inakusudia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta za uzalishaji, ikianza kilimo lengo llikiwa kuongeza kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kutoka asilimia 4 ya sasa hadi…
DODOMA:THE Tanzanian government has pledged to make major investments in the productive sectors, starting with agriculture in the next five years, by accelerating the growth of the sector from the…
Kamishna mkuu wa ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Volker TĂĽrk amelaani wimbi la mashambulizi ya hivi karibuni yaliyofanywa na Walowezi wa Kiyahudi dhidi ya Wapalestina katika…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameliambia bunge kwamba tume ya uchunguzi inaundwa kuchunguza mauaji yaliyotokea wakati wa uchaguzi ambao ulimrejesha madarakani.
UN imesema leo kuwa mauaji ya kutisha katika mji wa El-Fasher nchini Sudan ni "doa" kwa ulimwengu, na ikaitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua kufuatia onyo la uhalifu dhidi ya…