LALIGA Jumanne hii
FC Barcelona watakuwa uwanja wa nyumbani Camp Nou wakiwakaribisha Atletico Madrid.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 5:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Katika msimamo wa LALIGA, FC Barcelona wanaongoza msimamo wakiwa na alama 34 huku Atletico wakiwa na alama 31 katika nafasi ya nne.
Je, Cholo na vijana wake wa Atletico kuzifikia alama za Barc ama vijana wa Hans Flink kuzidi kutanua uongozi?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#Laliga #FCBarcelona #AtleticoMadrid

(Feed generated with FetchRSS)