Hizi ni video zilizorekodiwa Jumatano na Shirika la Kitaifa la Uokoaji na Utafutaji la Indonesia zinaonesha waokoaji wakibeba miili kutoka kwenye vifusi na kuipeleka kwenye gari la wagonjwa huko Sumatra, kufuatia mafuriko mabaya ambayo tayari yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 750 nchini humo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi