#HABARI: Zaidi ya Maafisa Usafirishaji 1,000, mkoani Pwani, wameihakikishia Serikali kuwa wataendelea kudumisha amani na uzalendo nchini, huku wakisisitiza kwa kuwa vijana ndio nguvu kazi ya taifa na chachu ya maendeleo, hivyo hawapo tayari kujihusisha na vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *