“Kwenye hili suala la mwisho wa mwaka, kila mwaka huwa lipo, mahitaji makubwa ya usafiri…inapotokea dharura kama hii ya wasafiri kuwa wengi… tunatoa vibali vya muda watu wanaomba wenye magari ya abiria zaidi ya 40 na kuendelea…”-CPA Dkt.Habibu Suluo-Mkurugenzi Mkuu LATRA.
#DAKIKA45
Powered by
#MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania