Tuzo Kubwa ya Utalii Duniani ambazo ni sawa na tuzo za Oscars au Grammy kwa tasnia za filamu na muziki imetua nchini baada ya Tanzania kutangazwa kuwa nchi inayovutia zaidi kwa Utalii wa Safari.
Tuzo hiyo ya Dunia ya Utalii 2025 – imetolewa nchini Bahrain usikua wa kuamkia leo Disemba 8 huku Tanzania ikishinda katika vipengele vitatu.
Msikilize Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Ephraim Mafuru.
Imeandaliwa na @moseskwindi