Wataalamu kutoka Taasisi ya Udhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wamewashauuri wakulima nchini kununua mbegu zilizofanyiwa utafiti na kuhakikiwa ili kuepuka kupata hasara kwenye mavuno yao.

Joyce Mwakalinga amewashuhudia wataalamu hao wakeitoa elimu kwa wakulima wa Simiyu.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *