Hali ya amani, utulivu na usalama imeshuhudiwa leo Disemba 9, 2025 wakati Tanzania Bara (Iliyokuwa Tanganyika) ikiadhimisha miaka 64 ya Uhuru.
Kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa tofauti nchini, wananchi wameelezea namna ambavyo siku hiyo imekwenda na kile wanachotamani kiendelee kutokea hapa nchini.
Mhariri @moseskwindi