Baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini, wameshauri vijana wenzao wanaomaliza elimu ya juu kujikita katika kupata mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), ili waweze kujiajiri badala ya kutegemea ajira za serikali.

Kasisi Kosta amezungumza na baadhi ya wahitimu wa elimu juu waliomaliza fani mbalimbali vyuo vikuu ikiwemo manunuzi, uhandisi wa gesi na mafuta , misitu ambao wanasoma kozi ya mitambo na ufundi VETA Shinyanga.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *