Hekari 498.3 za sehemu ya hifadhi ya Mlima Hanang uliopo wilayani Manyara zimeteketea kwa moto ambao ulizuka tangu Desemba 3, 2025 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijulikani.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud.j.m