Utaratibu mpya wa kuwapata viongozi wa taasisi na mashirika ya umma, pamoja na wajumbe wa bodi za wakurugenzi kwa njia ya ushindani, umeelezwa kuwa unaweza kuyakomboa mashirika hayo na kuongeza tija zaidi ya ilivyo sasa.

Mfumo huo unatarajiwa kuanza Julai Mosi mwakani, wakati ambapo baadhi ya mashirika yamekuwa yakijiendesha kwa hasara na mengine yameshindwa kujiendesha.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *