#HABARI: Huzuni imetawala wakati mwili wa marehemu Jenista Mhagama ukifikishwa nyumbani kwake, Itega jijini Dodoma. Marehemu Jenista aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na aliyewahi kuzitumikia Wizara kadhaa enzi za uhai wake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.