Mashavu anauliza maswali muhimu…Aziza aangua kilio baada ya kuambiwa Awadh ameoa mke wa pili. Binti Msumi anampa mzigo Mwamini wa kwenda kumpigisha shoti Chiku.

Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *