Wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa ambao waliweka jitihada za makusudi kutunza chanzo chao cha maji, wameanza kunufaika na uhifadhi walioufanya.
Hivi sasa wanapata maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kilimo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi