Idadi ya watalii wanaoingia nchini imeongezeka kwa asilimia tisa huku idadi hiyo ikitarajiwa kupanda kufikia mwishoni mwa mwaka 2025 kwa mujibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Hassan Abbas.

Katika hatua nyingine wizara hiyo kupitia mamlaka ya wanyapori (TAWA) imefungua maonesho maalum ya wanyama pori katika viwanja vya Sabasaba ili kutoa fursa kwa watalii wa ndani wanaokuwa wamebanwa na masomo na kazi kipindi cha Sabasaba.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *