Wakazi wa kata ya Malolo, wilayani Tabora Mjini wameingiwa na hofu ya maisha yao sambamba na kukosa huduma za msingi baada ya mvua kubwa kunyesha mapema leo Disemba 25, 2025 na kusababisha mafuriko katika eneo hilo.

Juma Kapipi ametembelea eneo hilo na kuzungumza na baadhi ya wakazi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *