Wananchi wapaza sauti changamoto ya daraja
Wananchi wa vijiji vya Ng'wambwa na Vikunguni, Mkoa wa Kusini Pemba wameiomba Serikali...
Wananchi wa vijiji vya Ng'wambwa na Vikunguni, Mkoa wa Kusini Pemba wameiomba Serikali...
DAR ES SALAAM: THE National Environment Management Council (NEMC) has today, December 3, 2025, joined the international community in commemorating the International Day of Persons with Disabilities, emphasising the importance…
Raia wa Kherson wanaishi kwa hofu ya mashambulizi ya kila mara ya droni za Urusi, ambazo Umoja wa Mataifa unasema zinawalenga kimakusudi na kusababisha vifo, majeraha na uharibifu mkubwa wa…
Viongozi na wanasiasa nchini, wameaswa kutohubiri amani pekee bila kutaja neno haki, kwani moja...
ZANZIBAR: The Tanzania National Parks Authority (TANAPA) has expanded its efforts to promote tourism and investment by signing a cooperation agreement with the Zanzibar Association of Tourism Investors (ZATI). This…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu…
Baada ya kukifunga kwa muda mrefu kivuko cha Rafah,Israel inadhamiria kukifungua kuruhusu Wapalestina kwenda Misri
DAR ES SALAAM: PUMA Energy Tanzania‘s commitment to excellence, innovation, and customer-centric service was powerfully validated at the annual Consumer Choice Awards held in Dar es Salaam, as it was…
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo limeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Walemavu Duniani kwa kutoa wito wa kuimarishwa kwa mazingira jumuishi na…
Marekani imesitisha kushughulikia maombi yote ya uhamiaji, ikiwemo kadi za kijani na uraia, kwa raia wa mataifa 19 yanayoainishwa kama hatari kubwa. Hatua hii imechochewa na shambulio la hivi karibuni…
KATAVI; Watu watatu wamekamatwa na askari wa maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo haramu cha bangi ndani ya eneo la hifadhi…
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotangaza kuwa, kuendelea Israel kuikalia kwa mabavu na kuiunganisha na upande wake Miinuko ya Golan ya Syria ni "kinyume cha sheria" na…
Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza kasi ya kuwarejesha makwao wahamiaji wasio halali wa Kiafrika wa nchi za chini ya Jangwa la Sahara, lakini imesema, kwa upande wa wakimbizi wa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na…
Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa kutoka Gaza sio ya mateka wake waliouwawa na Hamas, huku pande zote mbili zikiendelea kutekeleza makubaliano dhaifu ya kusitisha vita katika Ukanda…
Ilhan Omar, mbunge Muislamu anayewakilisha jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Democrat amejibu mapigo kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuanzisha tena mashambulizi…
#VIDEO: Hivi ndivyo Jeniffer Jovin ‘Niffer’ alivyoondoka leo katika viwanja vya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kufutiwa mashtaka ya uhaini yaliyokuwa yakimkabili. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
DAR ES SALAAM: SIMBA have parted company with Manager Dimitar Pantev after agreeing to terminate his contract, ending the Bulgarian’s brief spell at the club. The decision was announced via…
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans SC have once again cemented their place in African football history by becoming the first club to officially register as a member of the newly…
Wakati madiwani wa Manispaa ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza wakimchagua Sara N’ghwani kuwa Meya na...
Zaidi ya muongo mmoja uliyopita, ndege ya Malaysia MH370 ilitoweka na kupotea kabisaa, na kuacha kitendawili kikubwa cha anga. Licha ya utafutaji mkubwa wa kimataifa, hatma ya ndege hiyo na…
DAR ES SALAAM: The Director of Public Prosecutions (DPP) has dropped charges and released cosmetics businesswoman Jenifer Jovin, popularly known as Niffer, and Mika Lucas Chavala, who had been facing…
Kutoka umahiri wa masuala ya utalii hadi kuokoa maisha: Amina Abdallah, Mkurugenzi aliyeacha tasnia aliyopenda na kuamua kupambana na janga la afya ya akili.
DAR ES SALAAM: PUMA Energy Tanzania has cemented its place as a continental industry leader after winning two major honours at the prestigious Consumer Choice Awards held in Dar es…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
DAR ES SALAAM: MFANYABIASHARA Jennifer Jovin (26) maarufu ‘Niffer’na mwenzake waliokouwa wakikabiliwa na kesi ua uhaini wameachiliwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kueleza hana nia ya kuendelea kuwashitaki.…
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya watu wenye ulemavu… unashauri jamii ifanye nini ili dunia isonge mbele bila kumuacha mtu yeyote nyuma Tuandikie maoni yako, tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV.
DAR ES SALAAM: THE Business Registration and Licensing Agency (BRELA) has strengthened its role as the country’s main gateway for business operations after achievements driven by digital transformation and increased…
DAR ES SALAAM: THE Jubilee Life Insurance Tanzania has won a prestigious continental consumer choice award for 2025. In a colorful event held in Dar es Salaam over the weekend,…
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali kwa uhalifu wa kivita katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa wito kwa Wasomali wanaoishi Marekani warudi wakarekebishe nchi yao.
Utawala wa nchi, unaundwa na mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama na mhimili wa...
Tanzania inatarajiwa kuanza kuandaa Tuzo za Afrika zinazolenga kuzitambua kampuni zinazofanya...
Serikali ya Rais Donald Trump imesimamisha kwa muda usiojulikana maombi yote ya uhamiaji kutoka...
KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 74 inaelekeza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kila baada ya miaka mitano. Ni kwa msingi huo, Oktoba…
Sasa unaweza kupata taarifa mbali mbali kuhusu kampuni ya Mainland Group kuhusu mafuta ya alizeti ya Sunland na Merrin Farm, kwenye chaneli kuu za Azam TV - hii hapa ni…
#HABARI: Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26), maarufu kama Niffer, pamoja na Mika Lucas Chavala, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini. Uamuzi…
Niger imeanza kuuza urani yake katika soko la kimataifa baada ya kukata mkono wa Ufaransa katika sekta ya madini hayo nchini humo.
ARUSHA: MINISTER for Minerals, Anthony Mavunde, has unveiled an ambitious strategy to restore Tanzanite’s global standing and strengthen domestic trading systems, centring efforts on the Tanzanite Exchange Centre in Mirerani.…
ZANZIBAR: THE Zanzibar’s Minister for Agriculture, Irrigation, Natural Resources and Livestock, Suleiman Masoud Makame, has said that stronger collaboration between farmers and agricultural stakeholders will help secure the islands’ long…
Mgombea urais wa Chama cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine...
DAR ES SALAAM: TANZANIA is unarguably passing through a critical moment that demands a renewed national commitment to peace, unity and responsible citizenship. Recent tensions and isolated incidents of unrest…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Je, umetimiza malengo uliyokuwa umejiwekea mwaka huu? Tathmini yako kifedha inaonekana vipi? Wataalamu wa masuala ya fedha wanasisitiza umuhimu wa kufanya tathmini binafsi ya fedha na uchumi, hususan tunapoelekea mwishoni…
Huduma za mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro… kutoka Kimara kuelekea Gerezani - Kivukoni na Morocco - zimerejea rasmi leo kufuatia agizo la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aliyetaka huduma…
#VIDEO: Mfanyabiashara Jeniffer Jovin, maarufu kama Niffer, na Mika Chavala wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo Desemba 3, 2025, kwa ajili ya kusikiliza shauri…
Mange Kimambi amethibitisha kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwa serikali ya Tanzania imefungua kesi dhidi yake na hivyo kupanga kumrudisha Tanzania.