Je, umetimiza malengo uliyokuwa umejiwekea mwaka huu? Tathmini yako kifedha inaonekana vipi?

Wataalamu wa masuala ya fedha wanasisitiza umuhimu wa kufanya tathmini binafsi ya fedha na uchumi, hususan tunapoelekea mwishoni mwa mwaka.

Ungana na Mshauri wa Fedha na Uchumi, Janeth Soka, akieleza kwa nini ni muhimu kufanya tathmini binafsi ya hali yako ya kifedha na hatua unazopaswa kuchukua unapoumaliza mwaka.

#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *