#HABARI: Wakati maafisa wa Shirika la FBI la Marekani wakitazamiwa kuwasili Kenya kuhusiana na uchunguzi wao wa kashfa ya mabilioni ya pesa inayowahusisha Raia wa Kenya wanaoishi Marekani waliojipatia zaidi ya shillingi bilioni 38 za Kimarekani kwa njia za ulaghai, sasa upinzani nchini Kenya wanadai mamlaka za Kenya zinatakiwa kuwarejesha nchini Marekani ili kushtakiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *