Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi zaidi ya 300 ambao vitambulisho vyao vimeshatengenezwa na havijachukuliwa kuharakisha kuvichukua.
Rai hiyo ya NIDA imetolewa sambamba na kuwakumbusha wananchi hao kuwa vitambulisho hivyo ni sehemu ya nyenzo ya kupata huduma mbalimbali ambazo ni haki kwa wananchi.
Mhariri @moseskwindi