Manchester United mpaka sasa tangu kujiungua kwa Sir Alex Ferguson mpaka sasa imeachana na makocha tisa.
Huku na wale makaimu kocha wa muda ikiwa jumla kuu 9.
Louis van Gaal -alitumkiwa 2016
José Mourinho — Kufukuzwa kazi 2018
Ole Gunnar Solskjær — kutimliwa 2021
Erik ten Hag — Kutimliwa 2024
Rúben Amorim Kutimliwa 2026