Mwili wa aliyekuwa mfanyakazi wa Azam Media Nizar Muhsin umezikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam.
Nizar aliyekuwa mrushaji wa matangazo katika idara ya vipindi vya Televisheni alifariki jana Januari 4, 2026.
Mhariri @moseskwindi