#TANZIA: Danny Bandezu akiwa kwenye kaburi la marehemu Nizar Muhsin baada ya kukamilika kwa shughuli ya maziko leo Januari 5, 2026 kwenye makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam.
Bandezu alikuwa anafanya kazi idara moja na marehemu Nizar aliyefariki jana Januari 4, 2026
Nizar alikuwa mtumishi wa Azam Media Limited na alifariki jana Januari 04, 2026, nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Nizar alikuwa akifanya kazi kama Mrusha Matangazo katika Idara ya Vipindi vya Televesheni.
#RiPNizar