Viongozi wa kimila wa kijiji cha Kivukomteta wilayani Sumbawanga wamewapongeza wanakijiji hicho kwa utii wa ulinzi wa vyanzo vya maji hali inayoendelea kuulinda Mto Nyinaruzi.

Sami Kisika amefuatilia ulinzi huo unaotajwa kurithiwa kutoka vizazi vya mababu.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *