Wizara ya Madini imetangaza kuzuia wamiliki wa kigeni wa migodi nchini kujihusisha na utoaji wa huduma na bidhaa zipatazo ishirini, hatua inayolenga kutoa fursa kwa kampuni za Kitanzania zinazomilikiwa kwa asilimia mia moja kushiriki kikamilifu katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *