Kupitia TheSpark ya Clouds tv @iamkevincash ametaja director wa video kutoka Tanzania @hanscana_ kuwa ni miongoni mwa watu waliomshika mkono mwaka 2024/25 na kumtambulisha rasmi kwenye ulimwengu wa muziki.
Ameeleza kuwa #Hanscana alimtambulisha kwenye muziki kwa kwa kumpa platform yeke ili aonyeshe kipaji chake.
Cc @missloloh_ @djfantastic255 @masterjimmytz
#TheSparkShow
#clouds26nyoosha