#MEZAHURU: “Kuna wanafunzi wametoka mazingira magumu sana baba na mama hawana hela umasikini mtupu lakini wanajituma wao wenyewe wanajituma kwa hali ngumu mpaka huyo chou kikuu…..”- Hyasinta Kessy – Mwalimu wa Saikolijia Chuo cha Tumaini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.