#HABARI: Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo, Azim Dewji, amesisitiza kuwa maridhiano ya kitaifa ni nyenzo muhimu inayojenga misingi imara ya haki na utulivu, mambo ambayo ni kichocheo kikuu cha maendeleo endelevu nchini Tanzania. Bw. Dewji, mazingira yenye amani na maridhiano yanatoa fursa kwa serikali na sekta binafsi kuwekeza kwa ujasiri, jambo linalopelekea mabadiliko chanya ya kimaendeleo na kuimarisha imani ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *