#MICHEZO: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ametoa maelekezo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Soko la Mwanga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kuhakikisha mradi huo unakamilika kabla ya mwezi Mei mwaka huu ili kuwasaidia wananchi na wafanyabiashara wanaotegemea soko hilo katika kuendesha maisha na kukuza pato la Taifa, mradi ambao utagharimu zaidi ya bilioni 16 kwa masoko mawili ya Mwanga na Katonga.
Balozi Sirro ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa mkoani Kigoma, ikiwemo mradi wa ujenzi wa vibanda vya wajasiliamali wadogo wanaofanyia biashara zao kando kando ya Barabara ya Kigoma – Kasulu katika vijiji tofauti tofauti.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.