#KIPIMAJOTO: Serikali kuwafungia wakazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam mtambo wa kubadili maji ya chumvi ya Kisima kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani. Je, kifanyike katika maeneo yote ambayo visima vya serikali vinatoa maji ya chumvi?