#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa Mara.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.