#HABARI: Wizara ya Katiba na Sheria kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida na wadau wengine inaendelea na kliniki ya huduma za msaada wa kisheria ambapo katika awamu hii huduma zitatolewa kuanzia Januari 9-10, 2026.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera ataongoza kliniki ya huduma za msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi wa Singida wenye changamoto za ardhi, ndoa, mirathi, madai, matunzo ya watoto, viapo vya majina, na vyeti vya kuzaliwa na vifo kupitia RITA.

Huduma zitatolewa katika Ukumbi wa RC Mission -Mabula Stand kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *