#HABARI: Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kufanya mazungumzo ya awali na Wizara za Kilimo na Maji ili kushirikiana kwenye maeneo ambayo Wizara hizo zinaingiliana kisekta.
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Ng’wasi Kamani wakati akizungumza na wafugaji kwenye mnada wa Mifugo wa Ndala uliopo Nzega mkoani Tabora.
Mhe. Kamani ameeleza kuwa kupitia mashirikiano hayo wafugaji wanatarajiwa kupata sehemu za kunyweshea mifugo yao kupitia skimu za umwagiliaji zinazoendeshwa na Wizara ya Kilimo na miradi mikubwa inayotekelezwa na Wizara ya Maji.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.