Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imesema inawashikilia raia wa mataifa ya Kenya na Msumbiji kwa tuhuma za kujihusisha na uuzaji wa dawa za kulevya.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lymo amesema mmoja wa raia hao amekuwa akijificha katika kivuli cha kuuza chai.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *