Mhe. Patrobas Katambi ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Kabla ya Uteuzi huu Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.

Mhe. Katambi anachukua nafasi ya Mhe. Boniface George Simbachawene ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

#CloudsDigitalUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *