Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Makonda kuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.
Kabla ya uteuzi huo Makonda alikuwa Naibu Waziri katika wizara hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Profesa Paramagamba Kabudi.
Uteuzi wa Makonda umekuja mwezi pekee tangu Rais Samia ateue Baraza lake jipya la mawaziri liloteuliwa mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika.
#StarTvUpdate