#VIDEO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe#VIDEO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe

#VIDEO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda amewataka watendaji wa wizara hiyo katika idara na taasisi zote kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa weledi na uadilifu ili kuleta matokeo chanja kwa jamii.

Ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya zoezi la makabidhiano ya ofisi hiyo na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Mhe Prof Palamagamba Kabudi ambaye hivi karibuni ameteuliwa na Mhe Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (kazi maalum).

Powered by #MCHEZOSUPA

‎‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *