Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na mabalozi wanaowakilisha nchini zao hapa Tanzania Katika hafla ya kufungua mwaka kwa mabalozi hao.
Katika hafla hiyo, Rais Samia amegusia mambo mbalimbali ikiwemo vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu ambazo amesema zimeleta athari kubwa.
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates