#HABARI: Serikali imetakiwa kuhakikisha mamlaka husika zinaweka matumizi bora ya ardhi nchini ili kuchochea maendeleo na kumaliza migogoro ya muda mrefu. Mpango huo unalenga kutatua changamoto kati ya wakulima na wafugaji, pamoja na wananchi na wawekezaji, ili kuepusha machafuko yanayoweza kuhatarisha amani na usalama wa taifa.
Ombi hilo limetolewa na Brigedia Jenerali Charles James Ndiege, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), akiwa mkoani Singida na Maafisa wa Jeshi kutoka nchi saba. Ziara hiyo ililenga kujifunza jinsi sera mbalimbali za maendeleo zinavyotekelezwa kivitendo, huku ikisisitizwa kuwa usimamizi mzuri wa ardhi ndio msingi wa utulivu na ukuaji wa uchumi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.