Bendera ya Mara ipo kwenye mikono salama ya mrembo @adahqueen_tz na leo amechagua kunyoosha vocalee usiku wa #Sentro hapa @cloudstv saa 1930, malkia huyu anayemiliki pepo zenye uwiyano wa marashi yanayounganisha nchi za maziwa makuu EAC kutoka Kanda ya ziwa yupo kwaajili ya burudani kitivoni leo chini ya uangalizi wa Baba Mchungaji @harriskapiga.
Njoo baadaye tunyoooshe updates.
@clouds 2026
#Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *