#HABARI: Mwanamitandao na shabiki maarufu wa Man City, Brydon Bent, aliyejizolea umaarufu hapa nchini miaka kadhaa kutokana na video zake akiongea Kiswahili na kuonesha anapenda sana vivutio vya utalii vya Tanzania sasa anakuja katika #UnforgetableTanzania na #DestinationTanzania.

Kwa sasa Brydon ambaye licha ya kuwa katika academy za soka ni mtangazaji wa vipindi vya watoto katika BBC Kids na Sky Kids, Formular1 Kids nchini Uingereza na pia hutangaza Mechi za Man City kupitia Man City TV!

Brydon pia ni Mshindi wa Tuzo ya British Academy Film Award (BAFTA) ya Mtangazaji Chipukizi (2024).

Amepata kufanya mahojiano na mastaa mbalimbali akiwepo Kocha Pep Guadiola, Sergio Aguero, Neymar na wengine wengi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *