#HABARi: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linachunguza tukio la Mtoto Shaban Muebo (12) Mkazi wa Kijiji cha Masyalele Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara kwa kosa la kujaribu kumuua mtoto mwenzake aitwaye Ibrahimu Salumu Kelvine (4) mkazi wa Kijiji cha Masyalele.
Tukio hilo limetokea Januari 23 katika Kijiji cha Masyalele Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya mtuhumiwa kumlaghai mhanga akiwa anacheza na watoto wenzake na kuelekea naye katika msitu wa jando la Kijiji kisha kumjeruhi shingoni kwa kutumia kiwembe na kumtelekeza katika pori hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania